Nimechanganywa na mapenzi

Nimechanganywa na mapenzi

Ushawahi kusikia mtu kasahau familia...

Kuna mzee anaitwa Mwitore sijui. Alitoa ushuhuda.

Yaani siku nilipijichanganya kwa huyu mwanamke nilisahau kama nina mke...

Yaani hadi dada yangu ananiuliza hivi fulani ndio basi? Unaongeaga nae au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuuu
Natumai hi Njia uliyochagua ...haitokuwa na Majuto yaliyo MAKUU Majuto
 
Back
Top Bottom