Phobia
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,156
- 1,819
Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae
Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo mke wangu huwa anabakia nyumbani nyumba yangu si haba ni bonge la nyumba aisee katika mtaani wangu nyumba yangu ndiyo ya kueleweka kuliko nyumba zingine aisee
Juzi wakati narudi kutoka Congo 🇨🇩 nilikuwa nampigia simu mke wangu kila nikimpigia hapokei nikasema sio kitu nikaingia nyumbani kimya kimya kufungua geti nikakuta na vifaa vya mzoa taka nikasema labda yupo anakunywa chai kwa sababu ndiyo kawaida yangu kuwakirimu Wageni wakuu baada ya kuingia ndani daaa asalaleleeee looooh mzoa taka yupo juuu ya kifua cha mke wangu akipeleka moto na mke wangu akigugumia kwa raha tu nikazimia baada ya kuzinduka nikajikuta nipo hospitali sina hili wala lile! Duuuuh