Nimechapiwa mke wangu na mzoa taka

Nimechapiwa mke wangu na mzoa taka

.
Screenshot_2023_0125_151118.jpg
 
Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae
Kama mapigo yake yamethibitishwa na TBS mwache mkeo afurahie maisha
 
Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae

Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo mke wangu huwa anabakia nyumbani nyumba yangu si haba ni bonge la nyumba aisee katika mtaani wangu nyumba yangu ndiyo ya kueleweka kuliko nyumba zingine aisee

Juzi wakati narudi kutoka Congo 🇨🇩 nilikuwa nampigia simu mke wangu kila nikimpigia hapokei nikasema sio kitu nikaingia nyumbani kimya kimya kufungua geti nikakuta na vifaa vya mzoa taka nikasema labda yupo anakunywa chai kwa sababu ndiyo kawaida yangu kuwakirimu Wageni wakuu baada ya kuingia ndani daaa asalaleleeee looooh mzoa taka yupo juuu ya kifua cha mke wangu akipeleka moto na mke wangu akigugumia kwa raha tu nikazimia baada ya kuzinduka nikajikuta nipo hospitali sina hili wala lile! Duuuuh
Kweli mnapendana, hadi kulia mnalia wote. Angalia msije chapwa wote
 
Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae

Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo mke wangu huwa anabakia nyumbani nyumba yangu si haba ni bonge la nyumba aisee katika mtaani wangu nyumba yangu ndiyo ya kueleweka kuliko nyumba zingine aisee

Juzi wakati narudi kutoka Congo [emoji1078] nilikuwa nampigia simu mke wangu kila nikimpigia hapokei nikasema sio kitu nikaingia nyumbani kimya kimya kufungua geti nikakuta na vifaa vya mzoa taka nikasema labda yupo anakunywa chai kwa sababu ndiyo kawaida yangu kuwakirimu Wageni wakuu baada ya kuingia ndani daaa asalaleleeee looooh mzoa taka yupo juuu ya kifua cha mke wangu akipeleka moto na mke wangu akigugumia kwa raha tu nikazimia baada ya kuzinduka nikajikuta nipo hospitali sina hili wala lile! Duuuuh
Kulia na kuzimia ni udhaifu......Be gentle
 
Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae

Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo mke wangu huwa anabakia nyumbani nyumba yangu si haba ni bonge la nyumba aisee katika mtaani wangu nyumba yangu ndiyo ya kueleweka kuliko nyumba zingine aisee

Juzi wakati narudi kutoka Congo 🇨🇩 nilikuwa nampigia simu mke wangu kila nikimpigia hapokei nikasema sio kitu nikaingia nyumbani kimya kimya kufungua geti nikakuta na vifaa vya mzoa taka nikasema labda yupo anakunywa chai kwa sababu ndiyo kawaida yangu kuwakirimu Wageni wakuu baada ya kuingia ndani daaa asalaleleeee looooh mzoa taka yupo juuu ya kifua cha mke wangu akipeleka moto na mke wangu akigugumia kwa raha tu nikazimia baada ya kuzinduka nikajikuta nipo hospitali sina hili wala lile! Duuuuh
Achana naye mkuu, atakuletea magonjwa.
Maana sijajua kama ametubu kweli, kuomba msamaha sio kutubu.
Ni vigumu sana mke wako kutoka nje ya circle ya mzoa taka maana amempa moyo wake amini kwamba ,utaona.
 
Back
Top Bottom