Nimechapiwa mke wangu na mzoa taka

Phobia

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
1,156
Reaction score
1,819
Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae

Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo mke wangu huwa anabakia nyumbani nyumba yangu si haba ni bonge la nyumba aisee katika mtaani wangu nyumba yangu ndiyo ya kueleweka kuliko nyumba zingine aisee

Juzi wakati narudi kutoka Congo πŸ‡¨πŸ‡© nilikuwa nampigia simu mke wangu kila nikimpigia hapokei nikasema sio kitu nikaingia nyumbani kimya kimya kufungua geti nikakuta na vifaa vya mzoa taka nikasema labda yupo anakunywa chai kwa sababu ndiyo kawaida yangu kuwakirimu Wageni wakuu baada ya kuingia ndani daaa asalaleleeee looooh mzoa taka yupo juuu ya kifua cha mke wangu akipeleka moto na mke wangu akigugumia kwa raha tu nikazimia baada ya kuzinduka nikajikuta nipo hospitali sina hili wala lile! Duuuuh
 

Pole sana
SautafanyajeπŸ˜₯
 
Mbona imepoa sana?
Rudisha jikoni ipate moto, na wakati ikipata moto kanunue msokoto wa sukari maana imeisha tangu jana.
 
Eeeh ndani kwako kabisa yaani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…