Nimechapiwa mke wangu na mzoa taka

Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae
Kama mapigo yake yamethibitishwa na TBS mwache mkeo afurahie maisha
 
Doooh! Kachapiwa na wazalendo dah!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli mnapendana, hadi kulia mnalia wote. Angalia msije chapwa wote
 
Kulia na kuzimia ni udhaifu......Be gentle
 
Achana naye mkuu, atakuletea magonjwa.
Maana sijajua kama ametubu kweli, kuomba msamaha sio kutubu.
Ni vigumu sana mke wako kutoka nje ya circle ya mzoa taka maana amempa moyo wake amini kwamba ,utaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…