Nimechapiwa mke wangu na mzoa taka


Muwe wa bunifu kwa habari za chai
 
Ulizimia kama haji Manara au wale wa kwenye msiba wa JPM unazimia huku umeshikilia mkoba wako au mfuko wako wa rambo nyeusi yenye karanga
 
Mi nikikuta mke anagongwa nitamwambia jamaa ambebe aondoke naye tu. Naweza vumilia kwa mchepuko ila sio mke coz mchepuko sina malengo naye na mda wowote nikijiskia kumtema namtema
 
Nenda zako wewe.Hadithi za mashoga ndivyo zilivyo.
 
Ifike mahali hizi chai za JF zidhibitiwe Sasa sio kwa wingi huu jamani
 
Mi hpa mkuu nikupongeze kwa kuwa na lijumba likubwa kuliko wote hapo mtaan kwenu Jambo jengine we ni mbinafsi hupendi mkeo akiwa na raha
 
Mzoa taka nae ni mwanaume kama wewe, mara nyingi wewe upo mbali hivyo anatafuta huduma ya karibu. Na huenda anapeleka moto kukuzidi. Nafikiri sio mara ya kwanza kumpelekea moto.
 
Mmekutana wakarimu!
 
We ni shoga na unapenda story-coment za kunyumbuana hii ndio starehe yako tumekushtukia.
 
"Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae"

Wewe ni Popoma kama genta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…