Nimechapiwa mke wangu na mzoa taka

Huku kwetu hii chai tunaiita "sturungi" ila kuna viungo imekosa.
 
Tatizo hupeleki moto vizuri, kimoja Chali afu kinachukua sekunde kama cha jogoo. Wacha uchapiwe tu
 
Ungempiga mbupu na ww hyo mzoa Taka
 
Wakuu hii sio chai wakuu...najaribu kuwaza
 
kwa maelezo haya mkuu ni kweli umepigiwa na akili yako haijakaa sawa bado, ila haya masuala si hua ni siri ya ndani mzee!
 
Tabia ni kama ngozi[emoji23][emoji23]
Asikudanganye kitu huyo amekuwa akichapwa tu mara kwa mara maana anajua kazi yako ni ya masafa marefu kwa hiyo anajua ana muda wa kutosha tu kujirusha ukiwa haupo.Hata ukimshika siku nyingine atajiliza tu na kukuomba msamaha usio na mwisho.
 
Asante kwa wote, she's been employed tayari.

Always God is good.
 
baada ya kuingia ndani daaa asalaleleeee looooh mzoa taka yupo juuu ya kifua cha mke wangu akipeleka moto.


Mkuchu na kuzoa taka ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…