Nimechefushwa na "performance" ya Tanzania Afcon 2019

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,620
Reaction score
1,407
Jana nimetazama mchezo wa Taifa stars na Senegal ki msingi nimechefushwa na mchezo tulioucheza.

Lakini ninazidi kuchefushwa na maoni ya Watanzania wenzangu ninao wao wakisema senegal wanalipwa mishahara mikubwa, senegal wanachezea timu kubwa, senegal wanacheza ulaya,

bila kuachana na fikra potofu kuwa mchezaji alkilipwa fedha nyingi ndio anacheza vizuri, mchezaji akicheza ulaya ndio anacheza vizuri, mchezaji akicheza timu kubwa ndio anacheza vizuri.

Mpira wetu kuongozwa na watu wenye fikra hizi, wachezaji wenyewe kujaa fikra hizi ndio chanzo cha kudumaa mpira wetu na kamwe hautakua kama mkiendelea kulea fikra potofu hizo.

Niulize

kipi kinatangulia?

mchezaji anatangulia kucheza vizuri ndio anakuja kulipwa vizuri au mchezaji anaanza kulipwa vizuri ndio anafuata kucheza vizuri.

Je mchezaji anaanza kwenda timu kubwa ndio anakuja kucheza vizuri au anaanza kucheza vizuri ndio anapata tiketi ya kwenda timu kubwa?

Je mchezaji anaanza kwenda ulaya ndio aje kucheza vizuri au anaanza kucheza vizuri ndio apate tiketi ya kucheza ulaya.

Sasa katika timu yetu ya taifa walivyokuwa wakicheza jana ni mchezaji gani nyinyi mmemuona kuwa huyu kwa jinsi alivyocheza jana ki msingi timu kubwa zitamfuatilia?

Tume cheza mpira wa aibu, wachezaji hawawezi kupigiana pasi, mipira mingi ya pasi inakufa.

nilijaribu kutazama mabeki wa senegal nikatazama na mabeki wa taifa starts, senegal ilikuwa wakipoteza mpira kwenye nusu yao wanachokifanya ni kukimbia kurudi nyuma kuziba nafasi alafu wanatokea nyuma, yaani golini kwao wakikaba kuelekea goli la adui.

lakini taifa stars wakipoteza mpira wanatafuta kukaba mipira kwa kufukuza. ni vigumu umfukuze mtu ana mpira umpite na kumkaba hapohapo, matokeo yake ni mtu anakugeuza huku na kule na mtu anakimbia tu mbele ya mshambuliaji lakini hajui hata mpira uko wapi cha msingi kukimbia tu mbele ya mchezaji.

kujipanga uwanjani taifa stars ilikuwa shida. utana kundi la wachezaji watatu wa taifa stars labda mabeki wakikimbia pamoja kwenda nyuma wakati adui anakimbia na mpira. yaani hawakabi mtu na nafasi moja ina watu watatu, huku washambuliaji wa senegal wakiwa huru wanachotazama ni mpira umeenda wapi wakimbie kwenda kukaba.

Hivi niulize Shuti alilopiga mfungaji wa goli la pili la senegal, hivi hakuna mtanzania anaweza kupiga shuti kama lile? au tunadhani kwa uchezaji wao huo tuliouona wakienda ulaya watarudi wanapiga mashuti kama yale?, au wakilipwa mishahara mikubwa ndio wataanza kupiga mashuti kama yale.

Lazima tujue mpira ni uwezo wa mtu binafsi alivyo kwa kuzaliwa, mpira ni mazoezi ya mtu katika timu anayochezea lakini mpira ni juhudi binafsi za mchezaji.

Soko la kucheza nje limefunguka lakini sio kwa uchezaji huu niliouona jana.

kwa wachezaji vijana achaneni na hawa kaka zenu ni samaki waliokwisha kukomaa, lakini kwa kija uliye chini ya miaka 20, unacheza mpira usikubali kupotoshwa na haya mawazo mgando ya kutoka kwa kaka zenu, dada zenu, wazazi wenu eti timu fulani kubwa, watu fulani wanacheza ulaya, watu fulani wana mishahara mikubwa hivyo hatuwezi kushindana nao.

Ulimwengu kwa sasa umekuwa kama kijiji hivyo anza kufuatilia wacheji wakubwa katika timu kubwa kwa namba unayocheza wewe anachezaji, ana behave vipi uwanjani na wewe iga.

Tafuta vitu special vifanyie mazoezi yako binafsi kujijenga.

kama ni mshambuliaji na unaona una mbio na chenga tafuta mechi zenye washambuaji wenye mbio na chenga, wafuatilie kwa makini na kila siku vitu wanavyovifanya uwanjani vifanyie mazoezi yako binafsi kujijenga kufanana nao.

kama ni kiungo tazama mchezaji fulani wa kiungo anachezaje iga, anavyokaba, anavyo kokota mipira kwenda mbele, anavyochezesha timu.

kama ni beki tazama mabeki mahili wanachezaje, mpira ukienda mbele yeye anakuwa wapi? mpira ukifa yuko mbele anafanya nini? kama ukiona anarudi nyuma kwa mbio kurudi kwenye nafasi yake anza kufanya mazoezi na wewe kufanya hivyo hivyo, kama anakaba mpira kwa kukimbia kurudi nyuma na kugeuka anakaba ametulia fanya hivyo, kama timu ikiwa matata wanakaba wawili wawili basi fanyeni hivyo.

mkitumia utandawazi kuwasoma wachezaji mahiri na kuiga tabia zao uwanjani wanaowatazama wataona sifa kama zilezile walizoziona kwa hao mnaowaiga na huo ndio utakuwa mwanzo wa nyinyi kucheza vizuri mkapambana na timu kubwa, ndio utakuwa mwanzo wa nyinyi kucheza timu kubwa, ndio utakuwa mwanzo wa nyinyi kulipwa mishahara mikubwa.
 
wewe utakua ni Daniel Amokachi!
Amunike kashatuzingua
 
Kweli kabis mkuu, umchambuzi sahihi wa kile Taifa Stars walikuwa wanakifanya
 
Wamejiharibia soko la kusajiliwa club kubwa ulaya madalali walifurika kibao kufuatilia mechi wakisaka wachezaji wa kuwapeleka club kubwa za ulaya.
 
Umemaliza wanaogopa mpira kisingizio ligi yetu amacha
 
Kacheze wewe
 
Nenda kwenye page za makada huko mkajadili na polepole..
 
Mkuu umesema ukweli aiei..!
 
Sisi tunaweza kucheza league ya kununua madiwani na wabunge,hii huitwa 'manunuzi premier league'
League kubwa kama hizi za football tutaanza kuzicheza baada ya ccm kutoka madarakani kwa kuwa wameleta siasa mpaka kwenye soka (hapo stars ingeshinda tungesikia 'ni juhudi za serikali ya awamu ya tano ')
 
Back
Top Bottom