Nimecheka sana aisee

Nimecheka sana aisee

Huyu ni ''mmoja'' kati ya wale ''wanne''.....macho tu yanaonesha ni MWEHU...!!!!
 
Wewe jiue tu, hilo hata siyo kosa... kosa ni kutumia .com
 
Ila nimefuatilia kwenye airtel money yake, zimeshafika milioni sita na laki saba. Kweli watanzania bado wana huruma.
 
Usipate tabu we jichinje tuuuu labda kwenye msiba ndo tutajichangisha
 
Back
Top Bottom