Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
mwalimu tembo wa sasa si kama wale wa zamani wakiona mtu kavaa shati la kijani wanatimua mbio karibu wote wameshahama nchi.
madini uliyokatal;ia tumebaki na masimo matupu tunakula mrabaha wa 3% sasa hivi mshahara hautoshi hata kumlipia mtoto mmoja shule.
Mkuu Kyodowe ninatibu kwa kutumia tiba mbadala unasemaje?Hivi huu mzizimkavu unatibu nini?