Nimecheka sana mpaka nimetoka nje

Nimecheka sana mpaka nimetoka nje

Quimica

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
1,036
Reaction score
1,286
Moja ya Changamoto wanazokutana nazo wataalamu wa afya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushindwe kwa jina la yesu

Hapo mwanzo sjui ameongea nn dah nmecheka sanaaaa hapana aisee

Kazi kwel kwel

😂😂😂😂😂😂😂
Nakanaaa
Nakemea.... Shetani anakushauri...

Nimeshindwa blaza 😂😂😂😂😂😂
 
Mwanangu kumbe we pepo mchafu, tumshauri mod twende na id hii sasa
 
DOKTA ni PEPO MCHAFU, na kwa vyovyote atakuwa ni Janabi tu huyo au mfuasi wake mtiifu wa chanjo rafiki yangu mbishi sana DR Mambo Jambo

Halafu tangu lini ushauri wa daktari ukatolewa kwenye simu!! Hii ni propaganda tu ya kijinga 😂

Fire fire, choma huyo pepo mchafu dokta uchwara!! 😜🤪🤪🤣🤣

Wanapenda kuzalisha kwa operesheni ili waongeze maokoto wakati inawezekana kabisa mwanamke kujifungua kwa njia ya kawaida.

FIRE KABISA, tena hizo faya zingeelekezwa kwa janabi ingependeza zaidi, BELZEBULI MKUU WA MAPEPO YA CHANJO.
 
Haya ndo huwa namwambia kila siku BICHWA KOMWE - Rafiki yangu ona sasa kashawashawishi wengine wakatae tiba 🤣🤣
JANABI NI BELZEBULI, Mkuu wa MAPEPO YA CHANJO.

Ningekuwepo hapo ningeongeza moto mkali, FIRE FIRE FIRE piga mbwa huyo! Eboo!

Eti operesheni!!!! Tena jamaa kasema vizuri kabisa kwamba mke wake amejifungua kwa operesheni mara nyingi kwahiyo ni hatari kupasuliwa tena, lakini huyo DOKTA UCHWARA MWENYE D MBILI anashurutisha operesheni!

Piga kiberiti bwege huyo!
 
DOKTA ni PEPO MCHAFU, na kwa vyovyote atakuwa ni Janabi tu huyo au mfuasi wake mtiifu wa chanjo rafiki yangu mbishi sana DR Mambo Jambo

Halafu tangu lini ushauri wa daktari ukatolewa kwenye simu!! Hii ni propaganda tu ya kijinga 😂

Fire fire, choma huyo pepo mchafu dokta uchwara!! 😜🤪🤪🤣🤣

Wanapenda kuzalisha kwa operesheni ili waongeze maokoto wakati inawezekana kabisa mwanamke kujifungua kwa njia ya kawaida.

FIRE KABISA, tena hizo faya zingeelekezwa kwa janabi ingependeza zaidi, BELZEBULI MKUU WA MAPEPO YA CHANJO.
Yaani nimecheka sana 🤣🤣🤣
 
JANABI NI BELZEBULI, Mkuu wa MAPEPO YA CHANJO.

Ningekuwepo hapo ningeongeza moto mkali, FIRE FIRE FIRE piga mbwa huyo! Eboo!

Eti operesheni!!!! Tena jamaa kasema vizuri kabisa kwamba mke wake amejifungua kwa operesheni mara nyingi kwahiyo ni hatari kupasuliwa tena, lakini huyo DOKTA UCHWARA MWENYE D MBILI ashurutisha operesheni!

Piga kiberiti bwege huyo!
🤣🤣🤣
 
haya yote ni sababu ya ugumu wa maisha, ndio maana watu tumeona tuweke tumaini kubwa kwa Bwana, maana hata taifa limefeli kutatua matatizo ya nchi,..sisi mmoja mmoja ni nani?, kama hatuishi milele kwnini tusiweke tumaini lote kwa Bwana Yesu. Mungu anaweza mambo yote, tusimchagulie mambo ya kuyaweza....imani kua na uongezeke aameen!!!
 
Back
Top Bottom