Nimecheka sana mpaka nimetoka nje

Nimecheka sana mpaka nimetoka nje

Moja ya Changamoto wanazokutana nazo wataalamu wa afya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushindwe kwa jina la yesu

Hapo mwanzo sjui ameongea nn dah nmecheka sanaaaa hapana aisee

Kazi kwel kwel

View attachment 2910648
Daaah, Baaado Safari Baado, Safari Bado. Mzazi akipoteza Maisha Inakua ni Mipango ya Mungu
 
DOKTA ni PEPO MCHAFU, na kwa vyovyote atakuwa ni Janabi tu huyo au mfuasi wake mtiifu wa chanjo rafiki yangu mbishi sana DR Mambo Jambo

Halafu tangu lini ushauri wa daktari ukatolewa kwenye simu!! Hii ni propaganda tu ya kijinga [emoji23]

Fire fire, choma huyo pepo mchafu dokta uchwara!! [emoji12][emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787]

Wanapenda kuzalisha kwa operesheni ili waongeze maokoto wakati inawezekana kabisa mwanamke kujifungua kwa njia ya kawaida.

FIRE KABISA, tena hizo faya zingeelekezwa kwa janabi ingependeza zaidi, BELZEBULI MKUU WA MAPEPO YA CHANJO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moja ya Changamoto wanazokutana nazo wataalamu wa afya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushindwe kwa jina la yesu

Hapo mwanzo sjui ameongea nn dah nmecheka sanaaaa hapana aisee

Kazi kwel kwel

View attachment 2910648
Safi sana bado Janabi ngoja tumpigie na yeye tumpige fireeee🤣🤣🤣
 
Ndio hao wanajisifu kwa "usomi".Wenzao wengine hawataki hata blood transfusion
 
Niliisikia Jana nilicheka sana 😀😀😀
Dah Tanzania tunahitaji Elimu sana..
Ndo haya kila siku Kiranga anajaribu kuwaelemisha.watu wanachangany Dini mpaka sasa wanakuwa Vichaa
Hawa unawapeleka ignore list tu.

Nchi yenye ratio ya daktari mmoja kwa kila watu 20,000 ni ujinga daktari au mtaalamu wa afya kuanza kubishana na mtu mmoja.

Unapoteza muda kubishana na mtu mmoja wakati wengine 19,999 wanakusubiri? Kweli kabisa?

Halafu, hata kama unafikiri daktari kakosea -madaktari huwa wanakosea, watu wana haki ya kufikiri daktari kakosea - si unaenda kwingine kutafuta second opinion? Ya nini kumhamakia mtu bila heshima wala tija?
 
Jana nimecheka na kusikitika kwa wakati mmoja..
Sijui Kama tutajenga Taifa kwa Dizaini ya namna hii Tanzania Dini zimetujaa kichwani mpaka tunadharau vitu vya msingi kwa kigezo cha Mungu yupo Dah
 
Jana nimecheka na kusikitika kwa wakati mmoja..
Sijui Kama tutajenga Taifa kwa Dizaini ya namna hii Tanzania Dini zimetujaa kichwani mpaka tunadharau vitu vya msingi kwa kigezo cha Mungu yupo Dah
There is a rational explanation though.

Nature abhors a vacuum.

Where there is no hope, people invent all hopeful ideas, even ones that are statistically have a crazy low chance of being successful.

I think there is some kind of evolutionary psychology root of this, and it benefited our species in some way to have this kind of hope.

The trouble is, in this age of information, we need to grow up and out of this overdependence on hooe and placebo effect success.

Tanzanians are not doing this growing up effectively.
 
Back
Top Bottom