Nimecheka sana

Nakumbuka 2008,wakati tulipokua 100.fujo kama hizi hazikuwepo humu ndani
2008 tulikuwa zaidi ya afu kumi humu, acha kuleta chai
Issue sio kwamba wewe unajionaje. Issue ni jinsi wengine wanavyokuona.

Mpaka huyo demu unayesema ni mfupi, mweusi alaf mbaya, ameweza kupata ujasili wa kuhitaji elfu 90 ili awe na wewe, kuna kitu ameona.
Kitu alichokiona ni kuwa uwezo wa kumpa hiyo hela ninao
 
Kidemu kifupi cheusi kina mapengo meno ya mbele kinaniambia bila afu tisini hakiwezi toka na mimi. Wakati huo nachati na pisi kali inaniambia tu tafuta kiwanja kizuri tukaenjoy.

Hapo ndio nimegundua dunia uwanja wa fujo.
Hizi balehe hizi taabu kwelikweli.
 
Chukua wamama kuanzia miaka 40-55 hawana mambo mengi sera Yako tu unapita Kwa kishindo,!!
Nb:usipende kulelewa!! We funua kipochi sepa!
 
Sasa baada ya kushindwa kufika Bei Yake umeamua kuja kumchamba humu eti?
Kubali mapungufu yako kwamba hukuweza kukidhi vigezo vyake ( in terms of finance) na uanze mchakato wa kutafuta pesa kwa hasira.
Na ukishapata pesa Rudi kwake chap umwambie una elfu 90 yake akupe mzigo ukale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…