Hi wakuu, kuna swali hapa nimepewa na dogo wa form two. 2-1+1=? Nimetumia formula ya magazijuto jibu nikapata 0 lakini dogo anakomaa ni 2, je nani yupo sahihi?
Hi wakuu, kuna swali hapa nimepewa na dogo wa form two. 2-1+1=? Nimetumia formula ya magazijuto jibu nikapata 0 lakini dogo anakomaa ni 2, je nani yupo sahihi?
1. 2-1+1= 2
2. 2-(1+1)= 0
umeona utofauti? dogo yupo sawa, tatizo na utofauti unakuja pale kwenye swali kama utaweka mabano au la. ukiuliza kuwa 2-1+1 kama hajaweka mabano namna hii lazima jibu litakuwa 2. ila kama anasema 2-(1+1) ameweka mabano jibu lake litakuwa 0. dogo yuko sahihi.
Mpige makonzi heshima imjie halafu mfundishe tena HAWEZI KUKUBISHIA....EASY LIKE A PEACE OF CAKE.
Jibu mbili {2} kwa mujibu wa dogo kafanya ivi 2 katoa na 1 =1 sasa ile 1 ukijumlisha na 1 kapata 2
Easy man!!
tatizo umezaliwa kwenye nyakat za mulugoHi wakuu, kuna swali hapa nimepewa na dogo wa form two. 2-1+1=? Nimetumia formula ya magazijuto jibu nikapata 0 lakini dogo anakomaa ni 2, je nani yupo sahihi?
Kumbuka ile ni magazijuto so alama ya kujumlisha ni ya kwanza kabla ya alama ya kutoa!!
2-1+1=
2(-1+1)=
2(0)=
2*0=
=0
=2-1+1Hi wakuu, kuna swali hapa nimepewa na dogo wa form two. 2-1+1=? Nimetumia formula ya magazijuto jibu nikapata 0 lakini dogo anakomaa ni 2, je nani yupo sahihi?
Kazi kwelikweli....
JIBU SAHIHI NI HILI HAPA:
Kwanza ufafanuzi:-
2-1+1 Hii haina mabano, wala gawanya wala zidisha. Ina jumlisha na toa. Namba yoyote bila alama ya jumlisha au toa kushoto kwake inabaki (by default) kuwa jumlisha. Rejea mahesabu ya hasi na chanya...loh darasa la pili???
Hivyo:
2-1+1 = +2-1+1 Hapa kwa wale wasioelewa ina maana una vitu viwili unadaiwa kimoja ukaongezewa kingine!
= +2+1-1 Au Kusanya zinazofanana basi (Mambo ya vizibo vya bia ya safari na soda ya orange "squash"??looh)
= +3-1 Una vitatu wadaiwa kimoja
= +2 Unabakiwa na viwili
= 2 (Kumbuka hapo juu..akiandika +2 usije kumkosesha ni sahihi pia)
Waliosoma Mathematical Analysis kwa Dr Mushi(UDSM) enzi zileee mnakumbuka maswali ya why 1+1=2!!! Hahahaha
2-1+1=
2(-1+1)=
2(0)=
2*0=
=0