Nimechemshwa Ubongo jamani

Nimechemshwa Ubongo jamani

Blac kid

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
6,686
Reaction score
7,497
Hi wakuu, kuna swali hapa nimepewa na dogo wa form two. 2-1+1=? Nimetumia formula ya magazijuto jibu nikapata 0 lakini dogo anakomaa ni 2, je nani yupo sahihi?
 
Jibu mbili {2} kwa mujibu wa dogo kafanya ivi 2 katoa na 1 =1 sasa ile 1 ukijumlisha na 1 kapata 2

Easy man!!
 
mie nilipata F hesabu ilanaungana na dogo,nimetumia formula ya hasi na chanya ,
 
Hi wakuu, kuna swali hapa nimepewa na dogo wa form two. 2-1+1=? Nimetumia formula ya magazijuto jibu nikapata 0 lakini dogo anakomaa ni 2, je nani yupo sahihi?

Mpige makonzi heshima imjie halafu mfundishe tena HAWEZI KUKUBISHIA....EASY LIKE A PEACE OF CAKE.
 
1. 2-1+1= 2

2. 2-(1+1)= 0

umeona utofauti? dogo yupo sawa, tatizo na utofauti unakuja pale kwenye swali kama utaweka mabano au la. ukiuliza kuwa 2-1+1 kama hajaweka mabano namna hii lazima jibu litakuwa 2. ila kama anasema 2-(1+1) ameweka mabano jibu lake litakuwa 0. dogo yuko sahihi.
 
Mkuu mabano hakuweka bana! Lakini poa umenisaidia kujenga hoja make mie mwenyewe hesabu znanpiga chenga!!
 
Mpige makonzi heshima imjie halafu mfundishe tena HAWEZI KUKUBISHIA....EASY LIKE A PEACE OF CAKE.

Hahahaha! Haya bana ila dogo yuko fit kitaaluma mie mwenyewe namkubali ndio mana nmekimbilia huku kujihami!!
 
Jibu mbili {2} kwa mujibu wa dogo kafanya ivi 2 katoa na 1 =1 sasa ile 1 ukijumlisha na 1 kapata 2

Easy man!!

Kumbuka ile ni magazijuto so alama ya kujumlisha ni ya kwanza kabla ya alama ya kutoa!!
 
Hi wakuu, kuna swali hapa nimepewa na dogo wa form two. 2-1+1=? Nimetumia formula ya magazijuto jibu nikapata 0 lakini dogo anakomaa ni 2, je nani yupo sahihi?
tatizo umezaliwa kwenye nyakat za mulugo
 
Kumbuka ile ni magazijuto so alama ya kujumlisha ni ya kwanza kabla ya alama ya kutoa!!

dah! Watu mna vichwa vigumu sana!
MAGAZIJUTO maana yake ni kwamba unaanza kwanza na number zenye alama ya kujumlisha mbele yake kwenye hiyo hesabu zenye alama ya kujumlisha ni 2 na hiyo 1 ya mwisho so unazijumlisha kwanza then unamalizia kutoa zenye alama ya minus ambayo kwa hapo ni hiyo 1 ya katikati tu!
Jibu unapata 2
dogo yuko sahihi kabisa!
 
2-1+1=
2+(-1+1)=
2+(0)=2
2

mkuu ukiweka mabano signs ndo zinafanyiwa multiplication, sivyo ulivofanya wewe
 
Ukitumia magazijuto itakuwa hivh

2-1+1
= 2+1-1
= 3-1
= 2

Kwa mana hiyo dogo yuko sahihi halafu wewe una ufaulu usilridhisha katika hesabu
 
1383894_319490598189111_1149315660_n.jpg
 
Kazi kwelikweli....

JIBU SAHIHI NI HILI HAPA:
Kwanza ufafanuzi:-
2-1+1 Hii haina mabano, wala gawanya wala zidisha. Ina jumlisha na toa. Namba yoyote bila alama ya jumlisha au toa kushoto kwake inabaki (by default) kuwa jumlisha. Rejea mahesabu ya hasi na chanya...loh darasa la pili???
Hivyo:
2-1+1 = +2-1+1 Hapa kwa wale wasioelewa ina maana una vitu viwili unadaiwa kimoja ukaongezewa kingine!
= +2+1-1 Au Kusanya zinazofanana basi (Mambo ya vizibo vya bia ya safari na soda ya orange "squash"??looh)
= +3-1 Una vitatu wadaiwa kimoja
= +2 Unabakiwa na viwili
= 2 (Kumbuka hapo juu..akiandika +2 usije kumkosesha ni sahihi pia)
Waliosoma Mathematical Analysis kwa Dr Mushi(UDSM) enzi zileee mnakumbuka maswali ya why 1+1=2!!! Hahahaha
 
daah cmchezo,,kahesab karahic lkn ukifkiria sna unakosa kabisa,,mm nafkiri dogo yupo sahihi pia,,,

wadau naomben ushaur,,mm pia nimechemshwa ubongo???nimeitwa ktk usail PSRS jmoc ktk sehem 3 tofaut lkn nimeanza kz sehem nyingine ndo kwanza nna mwez 1 na nahic kupata ruhusa kwenda ktk usahil inaweza kuwa ngum sna ,,jee niache2 ncende au nifanyeje coz nshahudhuria pia sna bt cjawah kufanikiwa hata kuitwa usahil wa mahojiano.\\\\msaada p'se.
thnx.
 
hyo negative iliyopo nje ya mabano baada ya hyo mbil inatakiwa izidishie zote hzo namba zlzomo ndani ya mabano yaan
2-1+1=2-(1-1)
2-1+1=2(-1+1)
2-1+1=2(0)
2-1+1=0
MKUU KISUNZU AU HUJUI HASI NA CHANYA?
:A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom