Nimecheza muziki na shoga

Maseto

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
944
Reaction score
545
Wana JF
Naomba tushauriane suala hili.muda huu niandikapo natoka kucheza muziki na shoga.kwa mbali naambiwa alikuwa tanga.alikimbia kule kwa kudhurumu.yeye ni mrefu,mwembamba wastani.ananing'iniza kipima joto chenye mkanda mrefu kabisa.mim ni mara ya kwanza kumuona shoga.kusema kweli nimemuona kwa mara ya kwanza shoga.nimesisimkwa mwili balaa"
 
Tujadilini nini sasa?

1.0 Kusisimkwa kwako balaa kumuona shoga kwa mara ya kwanza?

2.0 Kudhulumu kwa shoga na kukimbia toka Tanga?

3.0 Kupendeza kwa shoga kwa kutupia cheni?

4.0 Kucheza na shoga?

Halafu mademu wamejaa kibao wewe ilikuwaje mpaka ucheze na shoga? Au ndiyo kila biashara na wateja wake?
 
Tutaamini vp?,pengine yeye anakukumbuka ila wewe humkumbuki, coz kama kulikuwa na wanaume wengine,kwa nini akufuate wewe? Labda...,!!
Tusifanyane watoto hapa.
 
...ooh...oooh!!
ungemsisimua na yeye.
 
asante kwa taarifa...hadithi yako inatufundisha hivi.....
 
hivi hii ni news alert?...au mm ndo kilaza...?malizia sasa baada ya kucheza nae?
 

usitudanganye, na wewe bas ni shoga na nnajuan kwa mambo yenu. Hiv wanawake wote na uzuri wao unajisifu kucheza na bwabwa?
 

Acha mafiks yako.....kamilisha story yako
 

Jf ina mengi.
 
uligundua ni shoga wakat gani....next time utasema nimesex na shoga sikujua kama ni shoga
 
Kumbe yalikufurahisha eeeeh mpaka unahadithia? na ukajua kama alikimbia tanga inaelekea mliongea mengi sana na shoga mwenzio,ivi ukiwa kama mwanamme huoni aibu kusema pumba hizo? ebu laleni naona mnausingizi na uchovu wakucheze sio jambo rahisi huo mchezo mloucheza.....
 

Duh ushakula bwabwa, umejiingiza kwenye mapenzi ya jinsia moja oooooh maskini maweeeeeeeeeee......
 
We mpaka jumanne usiku wa manane upo na mashoga disco kazi unafanya lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…