Maseto
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 944
- 545
Wana JF
Naomba tushauriane suala hili.muda huu niandikapo natoka kucheza muziki na shoga.kwa mbali naambiwa alikuwa tanga.alikimbia kule kwa kudhurumu.yeye ni mrefu,mwembamba wastani.ananing'iniza kipima joto chenye mkanda mrefu kabisa.mim ni mara ya kwanza kumuona shoga.kusema kweli nimemuona kwa mara ya kwanza shoga.nimesisimkwa mwili balaa"