didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Wanajukwaa nina changamoto inayonisumhua ubongo wangu.
Inshort mimi ni kijana nayetaka kuoa sasa japo changamoto inakuja kwa mama yangu kwasababu nimeshapeleka wanawake watatu kuwatambulisha ila wote Mama kawakataa na isitoshe ndo mzazi pekee niliyenae. Wanawake wenyewe ni kama ifuatavyo
1. Huyu msichana alikua ni muislam ila alikua vizuri na tabia nzuri. Huyu haikuniuma sana cz hata wajomba hawakupendelea sana nioe dini nyingine japo huyu msichana alinimind sana ila ashukuriwe Mungu saivi ameolewa tayari.
2. Huyu ni msichana ambae ananijua nje ndan Inshort tulianza mapenz tangu tukiwa tunasoma na tulikua tunapendana na tulipanga kuoana tangu tulipokua tunasoma japo alipata kazi mwanza ndo ikanipa nafasi ya mimi kua na yule binti muislam lakini miaka kama minne alirudi tukaendelea na mapenz japo Mama kamkataa kisa kabila lake ni mmeru aise huyu mwanamke ni alilaani kile kitendo kwasababu naye alishawaambia nduguze Inshort ilikua tafrani.
3. Huyu ambae nimetoka kumtambulisha juzi tu yeye ni mwanasiasa na ni mwenyekiti wa chama kimoja hiv katika jimbo X huyu pia Mama kamkataa.
Huu ndo mtihan niliokua nao kwa sasa kila nikitaka kutoka kwenye Kataa ndoa nabanwa.