Wanajukwaa nina changamoto inayonisumhua ubongo wangu.
Inshort mimi ni kijana nayetaka kuoa sasa japo changamoto inakuja kwa mama yangu kwasababu nimeshapeleka wanawake watatu kuwatambulisha ila wote Mama kawakataa na isitoshe ndo mzazi pekee niliyenae. Wanawake wenyewe ni kma ifuatqvyo
1. Huyu msichana alikua ni muislam ila alikua vzr na tabia nzuri. Huyu haikuniuma sana cz hta wajomba hawakupendelea sana nioe dini nyingine japo huyu msichana alinimind sana ila ashukuriwe Mungu saiv ameolewa tayari.
2. Huyu ni msichana ambae ananijua nje ndan Inshort tulianza mapenz tang tukiwa tunasoma na tulikua tunapendana na tulipanga kuoana tang tulipokua tunasoma japo alipata kaz mwanza ndo ikanipa nafas ya mm kua na yule muislam lkn miaka kma minne alirud tukaendelea na mapenz japo Mama kamkataa kisa kabila lake ni mmeru aise huyu mwanamke ni alilaani kile kitendo kwasababu naye alishawaambia nduguze Inshort ilikua tafrani.
3. Huyu ambae nimetoka kumtambulisha juzi tu yeye ni mwanasiasa na ni mwenyekiti wa chama kimoja hiv ktk jimbo X huyu pia Mama kamkataa.
Huu ndo mtihan niliokua nao kwa sasa kila nikitak kutoka kwenye Kataa ndoa nabanwa.