Nimechoka kabisa kuona haya yakifanyika na wenzetu kwani Tanzania tumemkosea nini Mungu!!?

Mkuu umenena ukweli kabisa TFF wakipanga kweli sio mchezo
 
Mkuu ina mana mwaka 80 Tz ilicheza kombe la dunia au???[emoji44][emoji44][emoji44]
 
Magufulikasema "Hapa Kazi Tu" na michezo kasema si kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…