Nimechoka kudanga nataka kurudi kwa mume wangu,shida ni mama mkwe

ulienda udangani kimya kimya, kwaio na kujuta jutia kimya kimya,,usitutishe sisi tunaotaka kuingia ,wacha tukanufaike wewe unarud kwa mumeo ukiwa tayar ushanufaika, rubbish.
 
Haitowezekana tena wewe chapa lapa tu
 
Shida ni mama yake, ambaye alichukua jukumu la kulea mtoto wangu baada ya kuondoka kwangu. Sasa yeye ndiye mwenye sauti nyumbani.
Story imekaa kindezi . Sisi hatuna cha kushauri wewe Ongea kwanza na mama mkwe wako. Ukitoboa hapo basi rudi tukushauri
 
Mnatuumiza vichwa story za kutunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…