Turnoff
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 732
- 855
Jf haikua hivi hizi zipeleke fb kule Kwa watoto wa miaka 18Hii n strue story na apa mtu anaomba USHAURI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf haikua hivi hizi zipeleke fb kule Kwa watoto wa miaka 18Hii n strue story na apa mtu anaomba USHAURI
Umemaliza utata mkuu,huyo mwanamke alilikoroga mwenyeewe sasa alinywe,alafu anatamaa sana ya pesa,awezi ishi na mwanaume yoyote uyu.NANUKUU HAPA MAKOSA YAKE KAMA IFUATAVYO.
1. Sababu ya kuondoka kwangu ni kwamba nilimpata mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Kwa sababu alikuwa na pesa, alinidanganya na nikamuacha mume wangu.
2. Sasa nataka kuondoka hapa nirudi kwa mume wangu kwani nasikia amejenga nyumba mbili
3. Nimejaribu kwa waganga ili achanganyikiwe na aondoke nyumbani, lakini imeshindikana.
Mithali 14:1 katika Biblia. Inasema: "Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, bali mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"
Mbona ni mambo ya kawaida Kwa Wanawake kufanya...!Story za kijinga kama hizi hazina ukweli na tumeshazichoka
Kha! Sasa wanaroga hadi mama zetu jamani.Habari kaka, mimi ni mama wa mtoto mmoja mwenye miaka 7 sasa. Nina miaka 2 tangu kuondoka kwa mume wangu, na niliondoka huku nikimuachia mtoto na kila kitu. Sababu ya kuondoka kwangu ni kwamba nilimpata mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Kwa sababu alikuwa na pesa, alinidanganya na nikamuacha mume wangu.
Nimekaa na yule mwanaume, na ameshanipeleka mpaka kwao. Mama yake ananipenda sana. Lakini nimekuja kugundua kuwa hawamtaki mke wake kwa sababu ya kabila ila mwanaume bado anaendelea naye. Sasa nataka kuondoka hapa nirudi kwa mume wangu kwani nasikia amejenga nyumba mbili na kuna mwanamke anayeishi naye.
Mimi nina ndoa ya kanisani, hivyo bado ni mke wake kwa kuwa hajanipa talaka. Sababu ya kuja kwako ni kwamba, najua mume wangu atanisamehe kwa kuwa hawezi kuniacha ninapokuwa karibu naye. Shida ni mama yake, ambaye alichukua jukumu la kulea mtoto wangu baada ya kuondoka kwangu. Sasa yeye ndiye mwenye sauti nyumbani.
Yule mama ananichukia sana, na najua atakataa nikitaka kurudi. Nimejaribu kwa waganga ili achanganyikiwe na aondoke nyumbani, lakini imeshindikana. Nataka tu unipe ushauri wa nini nifanye ili mama mkwe aondoke, nipate uhuru na mtoto wake. Hapa nilipo, nimechoka kudanga, mwanaume haachani na mke wake na ananizeesView attachment 3145889ha tu!
Wewe ni mpumbavu.Umechenyentwa hadi K imelegea ndo urudi kwa jamaa.Hiyo unayoita ndoa ya kanisani kairudishe kanisani maana ishakuwa batili,haipo. Ni void haipo.Habari kaka, mimi ni mama wa mtoto mmoja mwenye miaka 7 sasa. Nina miaka 2 tangu kuondoka kwa mume wangu, na niliondoka huku nikimuachia mtoto na kila kitu. Sababu ya kuondoka kwangu ni kwamba nilimpata mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu. Kwa sababu alikuwa na pesa, alinidanganya na nikamuacha mume wangu.