Nimechoka kudanga nataka kurudi kwa mume wangu,shida ni mama mkwe

Umemaliza utata mkuu,huyo mwanamke alilikoroga mwenyeewe sasa alinywe,alafu anatamaa sana ya pesa,awezi ishi na mwanaume yoyote uyu.
 
Story za kijinga kama hizi hazina ukweli na tumeshazichoka
Mbona ni mambo ya kawaida Kwa Wanawake kufanya...!

Kipi unashangaa mpaka uone ni story ya kutunga...!?

Je...! Ulisikia ile habari ya Mke wa Mwalimu huko Morogoro aliyeshirikiana na Bwana ake Mwendesha Bodaboda, wamuue Mwalimu ambaye ni Mme wake wa Ndoa na amezaa naye Mtoto, ili Mwanamke awe huru kuwa na Mwendesha Bodaboda....!?

Kati ya story ya Mwalimu na hii, kwako ipi inaweza kuwa ya kutunga!?
 
Kha! Sasa wanaroga hadi mama zetu jamani.
Kweli fear women.
 
Wewe ni mpumbavu.Umechenyentwa hadi K imelegea ndo urudi kwa jamaa.Hiyo unayoita ndoa ya kanisani kairudishe kanisani maana ishakuwa batili,haipo. Ni void haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…