Nimechoka kuhudumia, nahisi ni wakati wangu sahihi wa kuanza kuhudumiwa

Nimechoka kuhudumia, nahisi ni wakati wangu sahihi wa kuanza kuhudumiwa

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Nahisi ni wakati sahihi sasa wa kuumaliza mwendo. Haiwezekani posho yangu ya 135k kwa wiki igombaniwe na kila aina ya rika. Hapo hapo ndugu, jamaa, marafiki, bia, usafiri, vocha, tozo, umeme😥 Halafu hapohapo bado kuna mpenzi🥺 huyohuyo mpenzi mara aje na matawi yake ya hela ya kusuka, kubandika kucha, kodi, ya nikwambie kitu n.k 😭

Nahisi sasa ni wakati sahihi wa kuwa na mwanamke atakayenihudumia katika masuala mazima ya kimaisha yenye kuhitaji pesa! ili nusu ya kipato changu cha wiki kiwe ni kwa ajili ya afya check, kuangalia kama mkuyenge u kwenye hali gani, je unaendelea vyema kimajukumu zaidi au la! Je uno liko sawa? n.k

Huu ndo wakati wangu sahihi wa kutumia kipaji nilichonacho kuishi mjini. 5 hours!!? Kuunganisha!!!? XXL!!?? Aweee! Kabla mawazo ya kuoa hayajanizonga, ngoja nipite njia ya mkato!

Mnaohudumia wanawake safari njema katika mihudumo yenu!
 
Mhhh subiri upate lishangazi likuhudumie mumewe akutafutie mabaunsa
 
Nahisi ni wakati sahihi sasa wa kuumaliza mwendo. Haiwezekani posho yangu ya 135k kwa wiki igombaniwe na kila aina ya rika. Hapo hapo ndugu, jamaa, marafiki, bia, usafiri, vocha, tozo, umeme[emoji26] Halafu hapohapo bado kuna mpenzi[emoji3064] huyohuyo mpenzi mara aje na matawi yake ya hela ya kusuka, kubandika kucha, kodi, ya nikwambie kitu n.k [emoji24]

Nahisi sasa ni wakati sahihi wa kuwa na mwanamke atakayenihudumia katika masuala mazima ya kimaisha yenye kuhitaji pesa! ili nusu ya kipato changu cha wiki kiwe ni kwa ajili ya afya check, kuangalia kama mkuyenge u kwenye hali gani, je unaendelea vyema kimajukumu zaidi au la! Je uno liko sawa? n.k

Huu ndo wakati wangu sahihi wa kutumia kipaji nilichonacho kuishi mjini. 5 hours!!?? Kuunganisha!!!? XXL!!?? Aweee! Kabla mawazo ya kuoa hayajanizonga, ngoja nipite njia ya mkato!

Mnaohudumia wanawake safari njema katika mihudumo yenu!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan kuna mtu amekulazimisha si unawapa Kwa hiari yako!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ingia Tagged kule kuna sugar mummies inatafuta wale wapiga 'deki',
say sayanora to mizinga
 
Back
Top Bottom