Habarini za humu wanajamii, humu JF kuna watu mbalimbali wengine wanakaa Buza huko kwa mpalange, wengine Masaki na Osterbay, wengine Mwananyamala kwa kopa huko ila wengine wapo mamtooni huko pande za akina Biden.
Sasa wale wa kwa biden na ulaya huko ndo naomba ramani za kwend kuzama huko. Je nitasurvive?
Umri wangu miaka 27 sijaoa wala sina familia ,nina degree ya engineering,kwa sasa ninafanya kazi na mshahara mzuri tu ila ndo hivyo nataka niende huko nikaweke makazi
Ngoja ajeHii ni aina gani ya muhemuko
Hawakosekani haoAgain kuna watu wanachangia kwa kukatisha tamaa mno,mtoa hoja ishi kwa malengo yako,ukiamua kwenda kwa so called mabeberu nenda ILA jitahidi ukaingilie mlangoni sio kuruka ukuta au dirishani maana ukifanya hivi huu ni ushenzi,Good luck usisahau kuwa na passport, na ujiandae zaidi kisaikolojia kichwani, stay away from bongoz bora ujichanganye na zimbos au Kenyans na hata wapopo
Apate pumziko amaniMbele yetu nyuma yako.
🤣🤣 Unaonekana Mende sheikhnyuma yangu unatafuta nn