Nimechoka kuishi Bongo, nataka niende mamtoni

Mwaka kesho utacheza bahati nasibu ya kwenda kuishi USA. Mwaka huu deadline ilikuwa 8/10/2022.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app


Deadline ni Nov 8th.

DV-2024 Program: The online registration period for the DV-2024 Program begins on Wednesday, October 5, 2022, at 12:00 noon, Eastern Daylight Time (EDT) (GMT-4) and concludes on Tuesday, November 8, 2022, at 12:00 noon, Eastern Standard Time (EST) (GMT-5).  Submission of more than one entry for a person will disqualify all entries for that person.
 
Kama unapenda kulelewa njoo upakuliwe.
Huko kulelewa mimi sijaongelea,wewe unawaza upuuzi tu,kwani mtu akienda nchi ya nje kusaka fursa ni vibaya? Mbona vijana wa nchi nyingine wanatoka nchi zao wanaenda kusaka fursa nchi mbalimbali.Tatizo vijana wa kibongo ni waoga wa maisha,mnaogopa kujaribu ili mkikwama mrudi kwenu.Tatizo hapo ni uoga
 
Mm nimezidi umri wa kustaafu utumishi wa umma kwa hiyo sio kijana na kama huko nje ya nchi tulikwenda holidays.
 
Kama unafanya kazi basi na una mshahara watumie hawa jamaa ... wakupe studnt loan uende kama mwanafunzi Student Loans For International Students - MPOWER Financing

Ndani ya hiyo miaka miwili hakikisha unapata greencard, kwa njia yeyote ile
 
apply vyuo uende kama mwanafunzi wa masters .
Ukifika huko unasoma huku unafanya mishe nyingine kwa sasa application nyingi zipo open kwa admission za mwaka kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…