Yaani unalipwa 24m per year unajiita una kazi nzuri?Habarini za humu wadau,
Mimi ni kijana wa 26 yrs,mkazi wa dar es salaam,nakaa sinza.Nina kazi nzuri tu ambapo napata mshahara wa 2m+ basic salary.Sina mtoto wala sijaoa,nategemewa na famili yangu huko mkoani,pia ni kijana wa kwanza kwetu,wapo wadogo zangu kama wawili hivi.
Sawa ninapata pesa,nina kazi nzuri pia nina have fun weekends ila naoa life yangu hapa bongo kama bored hivi...Natamani nisave hata kwa mwaka na niuze vi assets vyangu nipate hata 20m hivi niende marekani au uk huko...Sijui kwa nini lakini akili yangu ndo inanituma hivyo.
Usichukilie serious maisha ya mtandaoni wengine tunapoteza muda tu.Hii ndio jf sasa kila mtu anamshahara mkubwa sana.
Nimeshangaa nini tena mkuu?kuna watu wanalipwa zaidi yangu wewe unashangaa hiyo
Mkuu kwa mwaka unalipwa shs ngapi??Yaani unalipwa 24m per year unajiita una kazi nzuri ?
Sasa kama daktari tu anachezea 1.5M na amesoma kwel kwel kwann huyu asijisifie ana- mshahara mkubwa😕Yaani unalipwa 24m per year unajiita una kazi nzuri ?
ThanksMiaka 26 una mshahara kama huo halafu umekuwa bored Bongo.Sio kitu kibaya ila nakushauri kama wewe ni msomi usitumie nguvu kubwa kuuza mpaka asset zako. Tafuta chuo au coolege ya nchi unayotamani kwenda halafu omba scholarship ya masters,, utakuja kunishukuru baadae.
Kwahiyo huko kijijini kwenu ndo mliaminishwa kuwa doctor ndo anamshahara mkubwa sio? Mimi nina mtu namfahamu analipwa 5m+ na ni under 30, baki hivyo hivyo.Sasa kama daktari tu anachezea 1.5M na amesoma kwel kwel kwann huyu asijisifie ana- mshahara mkubwa😕
Ndo mana mimi Udalali siachi japo mtaani wanainiita TAPELISasa kama daktari tu anachezea 1.5M na amesoma kwel kwel kwann huyu asijisifie ana- mshahara mkubwa😕
HV vitoto vya vyuo viazi SanaHabarini za humu wadau,