Nimechoka kuishi peke yangu!!!

Nimechoka kuishi peke yangu!!!

Watchword

New Member
Joined
Apr 10, 2020
Posts
2
Reaction score
0
Tunaishi kwenye nyakati za sayansi na technologia inayo rahisisha maisha kwenye nyanja zote zikiwepo kiuchumi na kijamii. Nina imani kupitia technologia ya mawasiliano naweza kupata mke mzuri, mke mwema.

Kwa heshima kubwa natafuta mke wa kuoa, umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, sichagui elimu wala kazi ila akiwa mwalimu itapendeza zaidi. Dini yoyote na kabila lolote ila ni ndoto zangu kuja kuishi na kabila za wenyeji wa Mbeya, Iringa, Ruvuma, Dodoma na Tanga.

Kwa wenye nia tafadhari tuwasiliane pm (Private message). Maswali mengi nitajibu huko.



Asante
 
Wakija wengi nipunguzie na mimia hata mmoja
 
Back
Top Bottom