Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Apr 7, 2023 #21 Ricky Blair said: Unajuaje me kijana?[emoji23][emoji23] Click to expand... Ungekuwa mzee ungekuwa unalalamikia watoto wako kukutenga na kumthamini mama yao zaidi maana ndio washkaji zako hao.
Ricky Blair said: Unajuaje me kijana?[emoji23][emoji23] Click to expand... Ungekuwa mzee ungekuwa unalalamikia watoto wako kukutenga na kumthamini mama yao zaidi maana ndio washkaji zako hao.
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Apr 7, 2023 #22 Stephan Lichtsteiner said: Braza tafuta hela sio ka nakudharau mie mwenyewe pia sina hela ukiwa huna hela utasalimia sana ila hakuna atae kusalimia unaacha simu ndan unaenda Dar had Moro unarudi hakuna hata missed call wala sms...... Click to expand... Dah umeongea kweli
Stephan Lichtsteiner said: Braza tafuta hela sio ka nakudharau mie mwenyewe pia sina hela ukiwa huna hela utasalimia sana ila hakuna atae kusalimia unaacha simu ndan unaenda Dar had Moro unarudi hakuna hata missed call wala sms...... Click to expand... Dah umeongea kweli
J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,541 Reaction score 7,378 Apr 7, 2023 #23 Asante kwa taarifa!
S scolastika JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,863 Reaction score 5,719 Apr 7, 2023 #24 Bora umechoka,make ulikuwa ni ujinga unafanya,watu wako bize na mkwanja we unawasumbua tu
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 Apr 7, 2023 #25 Utakuwa huru sana na utaishi maisha ya rahaaaa ukiuepuka huu utumwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 8, 2023 #26 Mambo yao waachie wenyewe...