Nimechoka kujipendekeza

Nimechoka kujipendekeza

Braza tafuta hela sio ka nakudharau mie mwenyewe pia sina hela ukiwa huna hela utasalimia sana ila hakuna atae kusalimia unaacha simu ndan unaenda Dar had Moro unarudi hakuna hata missed call wala sms......
Dah umeongea kweli
 
Bora umechoka,make ulikuwa ni ujinga unafanya,watu wako bize na mkwanja we unawasumbua tu
 
Utakuwa huru sana na utaishi maisha ya rahaaaa ukiuepuka huu utumwa.
 
Back
Top Bottom