Nimechoka kukaa kimya Kariakoo unakuta frame kubwa imejaa Kufuli tupu

Nimechoka kukaa kimya Kariakoo unakuta frame kubwa imejaa Kufuli tupu

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimewaza sana hili jambo
Kariakoo sijui wanaingizaje faida ama kuna mengineyo

Unakuta frame kubwa kalii hatareee

Ndani imejaa nguoxa ndani ii tupuuuu

Nje kuna BMW...CX5 KAMA ZOTEE
V8

JE HAWA WOTE Wanaenda kununua nguoo za ndani ama kuna mengineyoo

Kama wanapata faida kila la kheri
 
Hivyo vyupi ndio vile Lema amesema vimevaliwa Marekani ?
 
hivi ujashangaaaa
Misiba yotee ile ya kariakooo
imefanyika kwenye magorofa
Msilazimishe kufanana wapendwa tukomae tu
 
Kuuza kufuli tupu kwa jumla ni akili kubwa sana
Hii dili imekuzidi kimo mstaafu....
 
Kila msiba ukirushwa unakuta wako ghorofani si mchezo wateuleeeee
 
Back
Top Bottom