Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Mmmh!!!! Kuporomoshewa maporomoko tena.....? Tutasalimika kweli..???
Kama unakula ban kila siku lazma uchoke.....
jitahidi kubadilisha mlo kula ugali, wali ndizi n.k mambo yawe safi.....
Karibu chit chat....
Kama unakula ban kila siku lazma uchoke.....
jitahidi kubadilisha mlo kula ugali, wali ndizi n.k mambo yawe safi.....
Karibu chit chat....
oh... karibu, tatizo ukijadili si-hasa unatakiwa kuwa mpole, lakini wewe unataka kuwakomesha sijui wewe piposi powa au wagwanda au mrebilali.... teh teh teh! usikasirike utani...
karibu huku kuna siasa za mahusiano ya kijamii
ban ziko mbali sana.
Tafuta nyuma ndogo yaani mapolomoko 2 iwe kazi yake nikudeal na wale wajinga kule siasa mimi siendi tena kule within 4hrs nilipata ban ya 1week,kha yaani kuna watu wanakuchokoza yaani utaghadhibika tu haa
Asantesana nitaeutie pumziko nipoze hasira za ban
Karibu sana.
Asante, wabeja, wakola, wasemeja, erokamano