Miunda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 530
- 182
Dada hio kauli yako ya kubadili dini ondoa katika akili yako,uislam ipo straight na ukitoka katika uislam never come back, hio ndio sharia, tatizo ulilo nalo ni kwamba umeshindwa kujiamini, umeshindwa kumuamini alie kuumba, kiasi ambacho umekata tamaa, waislamu hatutakiwi kukata tamaa ever, na muislamu hasa mwanamke hatakiwi kuolewa na christo or yahudi, kwa sababu unapo olewa mamlaka yako yote anachukua mume.mm ni Binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana. ila naona mda unaeenda na yy ukimuuliza hajajipanga kimaisha nimechoma kumsubiri. natafuta mume wa kunioa.
.angalau awe na Miaka 27-37.sijaweka number kwa sababu maalumu. ukihitaji NM tutawasiliana.naishi dar
Mwanamme wa kislamu anaweza kumuowa yahudi, kwa sababu mwanamme ndio huchukua mamlaka ya mke, hivyo the end of the day mwanamke atamfuata mume.
Mungu achezewi, na dini haiplay ipo straight, if you gonna convert and you will never come back and the hell will be your home forever, Allah subhana Wataala akuongoe na akusamehe.
I suggest you leave that boy, and asking Allah forgiveness, wake up middle night and praying, I believe you will get answer that you're looking for, muombe akupe wa kheri and kwepa zinaa. In sha Allah kheri juu yako.