nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,909 Nov 2, 2012 Thread starter #41 Filipo said: Kwani umemwambia sweetlady? Amesemaje? Labda tuanzie hapo. Maana "mkeo" angekushauri vizuri zaidi. Lol Click to expand... sweetylady amesafiri kikazi bado hajarudi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Filipo said: Kwani umemwambia sweetlady? Amesemaje? Labda tuanzie hapo. Maana "mkeo" angekushauri vizuri zaidi. Lol Click to expand... sweetylady amesafiri kikazi bado hajarudi
Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 688 Nov 2, 2012 #42 tangu umeanza kulalamika kuhusu daladala bora kununua tu gari lako mara umekuatana na shoga mara mara umechoka kunusa harufu unaruhusiwa kuazima gari au kukopa nani atakayejua
tangu umeanza kulalamika kuhusu daladala bora kununua tu gari lako mara umekuatana na shoga mara mara umechoka kunusa harufu unaruhusiwa kuazima gari au kukopa nani atakayejua