Nimechoka kupigwa

Nimechoka kupigwa

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,717
Reaction score
13,176
Tatizo langu ni unyonge najuta kwanini sikupitia jkt au kwenda dojo lolote kujifunza mbinu za mapambano.

Nimekuwa punching bag kila mtu anataka kunipiga na huwa wananipiga kwelikweli,jana nilikuwa na short ya shilingi mia kwenye nauli kondakta akanipiga mpaka nimetoka manundu.

Mwaka jana niliona ngoja nichukue bangi Arusha nipeleke Udenishi(Denmark) koneksheni alinipa johnthebaptist, nilipofika Denmark akanipiga na bangi akachukua yeye.
Nikaona ngoja niingie kwenye dini ili nami nianzishe madrasa,nikapiga kitabu cha babu,safina,riyadhwi swalihiin,arbaa madh hab juzuul auwal,kitabu cha hadithi 40 sherhe ya Imam nawaw,tafsiri ya qur ya ibn kathir,vitabu vya nahau juzuu 1na 2, ukhty FaizaFoxy, akanipiga kwa kuwa sikuwasoma maibadh na mashia !

Nikaona ngoja nikajiunge na chadema,nilipofika ufipa walinipiga wakisema mimi ni CUF Lipumba,nikaamua kwenda Lumumba nao wakanipiga wakisema mimi ni mwanachadema.
Nikaona ngoja nianze kujifunza uchawi Mshana Jr,akasema nataka kumuibia wateja.

Nikaamua ngoja niwe mtunzi wa hadithi za kijasusi LEGE, akanipiga kwa kuwa sijui tofauti ya majasusi na usalama wa Taifa.

Nikaamua kuamini kutokuwepo kwa Mungu,kwanini napigwa mimi tu ! Nikamfuata Kiranga, Akanipiga akidai nimetumwa na wahindu !
Nikaamua niwe team Membe ili 2020 iwe kazi na bata Mmawia, akanipiga akidai mi ni team jiwe !

Nikaamua kufungua catering company yangu dada farkhina, kidogo anitoe jicho kwa kipigo
Nikaamua kufuga midevu Ushimen, akanipiga eti namuibia style yake !
Walionipiga ni wengi na wengi wamenitishia nikiwataja ndio watanipiga mpaka basi.
Wale wanyonge kama mimi tuwataje wanaotaka kutupiga ili watuonee huruma
Nalog off
 
Shibeee mwana malevya, njaa mwana malegeza.
Mjomba ushashiba kande sasa unatuwekea mavitu magumu / yasioeleweka.
Wenzako bado hatujala babu acha hizo
😂😂😂 nimecheka kwa nguvu hapa kwenye kubet,wazee wa kubet nao wanataka kunipiga.
Nalog off
 
Attachments

  • IMG_20190821_210911.jpg
    IMG_20190821_210911.jpg
    10.1 KB · Views: 1
Tatizo langu ni unyonge najuta kwanini sikupitia jkt au kwenda dojo lolote kujifunza mbinu za mapambano.
Nimekuwa punching bag kila mtu anataka kunipiga na huwa wananipiga kwelikweli,jana nilikuwa na short ya shilingi mia kwenye nauli kondakta akanipiga mpaka nimetoka manundu.
Mwaka jana niliona ngoja nichukue bangi Arusha nipeleke Udenishi(Denmark) koneksheni alinipa johnthebaptist, nilipofika Denmark akanipiga na bangi akachukua yeye.
Nikaona ngoja niingie kwenye dini ili nami nianzishe madrasa,nikapiga kitabu cha babu,safina,riyadhwi swalihiin,arbaa madh hab juzuul auwal,kitabu cha hadithi 40 sherhe ya Imam nawaw,tafsiri ya qur ya ibn kathir,vitabu vya nahau juzuu 1na 2, ukhty FaizaFoxy, akanipiga kwa kuwa sikuwasoma maibadh na mashia !
Nikaona ngoja nikajiunge na chadema,nilipofika ufipa walinipiga wakisema mimi ni CUF Lipumba,nikaamua kwenda Lumumba nao wakanipiga wakisema mimi ni mwanachadema.
Nikaona ngoja nianze kujifunza uchawi Mshana Jr,akasema nataka kumuibia wateja.
Nikaamua ngoja niwe mtunzi wa hadithi za kijasusi LEGE, akanipiga kwa kuwa sijui tofauti ya majasusi na usalama wa Taifa.
Walionipiga ni wengi na wengi wamenitishia nikiwataja ndio watanipiga mpaka basi.
Wale wanyonge kama mimi tuwataje wanaotaka kutupiga ili watuonee huruma
Nalog off
Hahahaaa...... Tena lile jani lilikuwa la Njombe!
 
Pigwa vipigo vyote, ila tu kuwa makini usije ‘kuwashwawashwa’ kama jina lako.... utapigwa tackle kama mzinga wa konyagi.
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]loh... Amazing creation.... [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]

Back
Top Bottom