Duhh! Wahenga tupo wengi humu [emoji23][emoji1787]Me too ningeacha shule nikiwa darasa la 6, huyo angekua mtoto wangu wa 2
Wafundishe maisha hao vijana bana, wasiparamie mambo yaliyo juu ya uwezo waoShukrani sana nimekwepa mishale mingi sana hao kina mshamba_hachekwi ni wanangu kabisa
๐๐ mimi na wewe hatupishani sana kwa jinsi nilivyoona ule mguu wako mzuri
Tumejaa mno๐คฃ
Nilishawaambia mambo ya mashangazi waache kwan shangazi zao wanawatosha ila naona hawaelewi ๐Wafundishe maisha hao vijana bana, wasiparamie mambo yaliyo juu ya uwezo wao
Kumbe umezaliwa utawala wa Mkapa unaishia? ๐ ๐mi mwenyewe wa 2004 ila siwezi kulisha watu matango-pori kiasi hiki ๐
Kwani mashangazi tuna shida gani, ushaanza kuboa sasa๐Nilishawaambia mambo ya mashangazi waache kwan shangazi zao wanawatosha ila naona hawaelewi ๐
Acha basi ๐ ๐ ๐Me too ningeacha shule nikiwa darasa la 6, huyo angekua mtoto wangu wa 2
๐คฃ๐ huyo ni maisha bora kwa kila mtzKumbe umezaliwa utawala wa Mkapa unaishia? ๐ ๐
Mkuu hebu kuwa na adabu kidogo, usiwaongelee tena ๐ ๐Nilishawaambia mambo ya mashangazi waache kwan shangazi zao wanawatosha ila naona hawaelewi ๐
Mashangazi ni kwa ajili yetu sisi sio wao.Kwani mashangazi tuna shida gani, ushaanza kuboa sasa๐
kwa staili hii nitaopoa pisi kweli hapa jf?? ๐Wafundishe maisha hao vijana bana, wasiparamie mambo yaliyo juu ya uwezo wao
Kwanini mkuuMkuu hebu kuwa na adabu kidogo, usiwaongelee tena ๐ ๐
Usimsikilize huyo, hana nia nzuri na mood yako ๐Kwani mashangazi tuna shida gani, ushaanza kuboa sasa๐
Aki tena, yaani tena hapo ningepiga Ile voda fasta angekua mtoto wangu wa 3Acha basi ๐ ๐ ๐
sisi ndo tuna pipe zimechangamka, nyie zimeanza kusinyaa๐mmeshafanya masihara mengi sana๐Mashangazi ni kwa ajili yetu sisi sio wao.
Hellow Africa
Dah ninaishi na wife huu mwaka wa nne sasa ila kero kubwa wageni hawakauki hapa nyumbani ndugu zake wanaingia na kutoka kiasi kwamba mtu huwezi kuweka akiba yako.
Juzi kaja mgonjwa wa vidonda vya tumbo Jumapili huwa tuna kawaida ya kupika pilau yeye tukampikia ndizi lakini wapi eti kaenda kugombania ukoko wa pilau na mwanangu wa mwisho mpaka kaja kuniambia chumbani.
Yaani huyo sijui kakataliwa na mshangazi humu, ndio maana ana hasira na sisi.Mkuu hebu kuwa na adabu kidogo, usiwaongelee tena ๐ ๐
Hizi ID mpya nyingi ni za watoto wa 2000 kuja juu ๐ ๐ ๐Aki tena, yaani tena hapo ningepiga Ile voda fasta angekua mtoto wangu wa 3
Apuuzwe๐คฃUsimsikilize huyo, hana nia nzuri na mood yako ๐