Nimechoka kupokea wageni

Acha uchoyo..... Yaani Baba wa familia unawaza Mambo ya ukoko wa pilau... Shame on You.
 
Kumbe kakaangu ww ni msukumaa, hapo nimeelewa ila punguzeni kidogo daah! Mnaumiza makabila mengine undugulization unazidi jamani...mtuhurumiee
Asili yetu sio hivo na hatuwez acha Sisi tunakaa na mtu yeyote kikubwa awe mwaminifu TU na utalelewa vizr ni tofaut na wachagga uchoyo na gubu la kijinga

Sasa kama mwanaume mweny akili timamu unalaumu dungu kala ukoko seriously na mwanamke unajifeel umeolewa kabisa
 
Kama ndg. wa mkeo bado ni tegemezi (Wanafunzi) wavumilie tu, familia zetu hizi akibahatika mmoja wa familia akawa na mwanga kidogo mzigo wote unamwangukia.

Ila kama ni watu wazima na si wanafunzi na una miradi ambayo unaweza kuwaweka wakusaidie fanya hivyo. Wasibweteke tu nyumbani, wazalishe.

Kama hakuna miradi midogo midogo ya wao kukusaidia, kaa na mkeo mpe nyeusi na nyeupe, warudi kwao.

Wewe ndo unayeujua uhalisia wa maisha ya kwao. Pia kama unaweza kuwasaidia kwa kuwatafutia sehemu ya kujishikiza unaweza kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…