shem naomba lift
kwa hiyo bei, ni bora ununue petroli, unywe ahalafu upate nguvu za kutembea
kwa hiyo bei, ni bora ununue petroli, unywe ahalafu upate nguvu za kutembea
ile pikipiki yako uliyokatiza nayo mikumi ililiwa na simba?????
Mkuu ni Pm nikuuzie nissan march ya mwaka2003 inatembea haina tatizo lolote