Nimechoka kutembea hadi miguu inataka kuisha, mwenye gari la milion 2 nanunua

Sasa mm najua nitapata tu sasa kumetokea mgomo aniombe mtu aone nitavyommwagia tope
 
Miguu inaisha duuh ssa huu ni uhongo mtakatifu
 
kumbe ndio mana bado anatembea kma pesa ndio hyo na unyayo utatoka ubaki unatembelea ugoko
 
kuna watu hawana njaa kihivyo pia mwingine kapatwa na dharula ya kiuchumi anaweza uza gari zima kabisa kwa bei rahisi mwingine anauza gari baada ya kulichoka anataka kubadili gari lkn bado zima mie mwenyew natafuta starlet vitz au corolla kwa bei ya mil 3- 4 ukiwanayo nicheki kwa 0658 225305
 
Mkuu ni Pm nikuuzie nissan march ya mwaka2003 inatembea haina tatizo lolote
 
kuna watu hawana njaa kihivyo pia mwingine kapatwa na dharula ya kiuchumi anaweza uza gari zima kabisa kwa bei rahisi mwingine anauza gari baada ya kulichoka anataka kubadili gari lkn bado zima mie mwenyew natafuta starlet vitz au corolla kwa bei ya mil 3- 4 ukiwanayo nicheki kwa 0658 225305
Iko poa kwa 3M. Kama unahitaji 0715094880
 

Attachments

  • 1439029849582.jpg
    55.8 KB · Views: 156
  • 1439029926991.jpg
    41.5 KB · Views: 149
  • 1439029980073.jpg
    67.7 KB · Views: 142
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…