Kijana, umeshakula kweli?
Kuwa na nidhamu tafadhali wahaya tuna jisifu kwa tunacho miliki huyu ana changamsha gengeMara yako ya mwisho kuwa serious ni lini?
Nahisi utakua muhaiiiyaaaa
Kiduku lilo amekurithisha kipaji cha misifa au ni yule yule Kiduku kupitia ID nyingine?Aman itawale kwenu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Nimekuja kwenu kuomba ushaul wenu maana nyie wana jf ndo wanangu wa kufa na kuzikana
Nyie ndo ndugu zangu wa damu
Nimechoka kutumia V 8 sasa je ni gar gan nyingine inafaa kutumiwa ila iwe japo ya kuanzia milion mia nne kwenda juu
Japo mimi naifikilia sana Chevrolet
Je Chevrolet inafaa? Kweli wazee
Gari yangu ya kwanza kununua ilikuwa teza badae subaru lakin kwa sasa natumia V 8
Lakin nayo nimeichoka sasa basi ni gar gan nyingine ni nzur na inafaa kutumiwa na mtu kama mimi ambaye nimeichoka v 8
Ni hayo tu ndugu zangu
Ushaul wenu
LONDON BOY
Unahitaji ushaul au ushauri!Aman itawale kwenu wakuu

Aman itawale kwenu wakuu