Nimechoka kutumia V 8 sasa je, ni gari gani nyingine inafaa

Jf raha sana,mtu hajawahi hata kumiliki hata baiskeli anajidai ameichoka v8
 
Ushauli ndo mdudu gani?
V8 ni madudu gani?
 
hiyo sekta mwachie kidukulilo we imekupwaya vibaya mno uandishi tu matakataka
 
Mkuu ile ranger uliyotoka nayo mwanza vipi kwani haikufai.
Hivi ulifika saa ngapi siku ile
 
Dogo habari za hapo mabatini Mwanza!!!,, kama hujanywa chai nichek Pm
 
mnaotumia pc wekeni link za nyuzi zake za nyuma akisimulia alivyokuwa akipanda fisi n.k.

ile safari ya mwanza-dar masaa 7 iacheni kwanza.

maana wamezidi kutudharau sisi wenye usafiri asilia TZ 11
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…