Nimechoka kuwa pusha

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Kiukweli upusha sio poa asikuambie mtu mimi na huu urembo wangu kazi insyoniweka mjini hapa ni upusha aisee sio poa japo unapata pesa za kutosha lakini unaishi kwa mashaka tu.

Kiukweli nyie vijana acheni upusha sio poa jana kuna mwana amepigwa mvua ya miaka thelathini baada ya kukutwa na Heroine na bangi aisee sio poa wakuu.
 
Once a pusha always a pusha… kuna addiction flan hivii unaipata.
 
The end justifies the means... Keep on fighting
 
Mtoa mada Ni attention seeker,
Nothing serious here,tunajichosha,
Mnabisha,Fuatilieni thread zake zilizopita
Shida sio kutaka attention Ila kwa nini anaitaka hiyo attention. Ukifikiria kiundani utaona kuna namna anahitaji kuwa cared na kuoneshwa upendo maana yupo lonely. Kama ukiwa na time, msalimie hata PM ajisikie vizuri and maybe unaweza kuyajua mengi zaidi
 
Jana ukawa wakike sio.
Tunasubiri kesho ukiwa njemba tuongee na wewe kiume.
 
Mtoa mada Ni attention seeker,
Nothing serious here,tunajichosha,
Mnabisha,Fuatilieni thread zake zilizopita
Analeta Uzi,anaingia mitini kusoma replies zenu
Vijana wengi wanasumbuliwa na Upweke njia pekee wanayoona ita solve tatizo lao ni kufungua nyuzi za kufikirika JF
 
Oya usiache, ukiacha nani atanitolea kitu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…