Pediatrician na Upusha wapi na wapi!Kiukweli upusha sio poa asikuambie mtu mimi na huu urembo wangu kazi insyoniweka mjini hapa ni upusha aisee sio poa japo unapata pesa za kutosha lakini unaishi kwa mashaka tu.
Kiukweli nyie vijana acheni upusha sio poa jana kuna mwana amepigwa mvua ya miaka thelathini baada ya kukutwa na Heroine na bangi aisee sio poa wakuu.
Itakuwa unatupiga kamba wewe!