Nimechoka kuwa single, nahitaji mpenzi

Nimechoka kuwa single, nahitaji mpenzi

mynah

Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
59
Reaction score
89
Wana jf mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 23 na ninasoma chuo urefu wastani na ni maji ya kunde
Natafuta mpenzi wakua nae mpaka uchumba na hatimae wa mke kabisa
Sifa zake sasa
1. kabila asiwe mchaga na mfipa mengine poa tu
2. Awe muislamu na mwenye msimamo na dini
3.awe mweupe au maji ya kunde
4.asiwe mwembamba sana na asiwe bonge sana wastani
5.Kama kawaida awe nalo wowowo
6.awe na tabia za nzuri maana mama yangu [emoji23] atajuta
Ni hayo tu nisaidieni anicheki pm faster tuanzishe mahusiano muwe na siku njema wana jamvi
 
Wee ungesema tu unahitaji ustaadhat wa kufanya naye maisha. Ukitafuta mpenzi, upendo hauchagui wala haubagui
Wana jf mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 23 na ninasoma chuo urefu wastani na ni maji ya kunde
Natafuta mpenzi wakua nae mpaka uchumba na hatimae wa mke kabisa
Sifa zake sasa
1. kabila asiwe mchaga na mfipa mengine poa tu
2. Awe muislamu na mwenye msimamo na dini
3.awe mweupe au maji ya kunde
4.asiwe mwembamba sana na asiwe bonge sana wastani
5.Kama kawaida awe nalo wowowo
6.awe na tabia za nzuri maana mama yangu [emoji23] atajuta
Ni hayo tu nisaidieni anicheki pm faster tuanzishe mahusiano muwe na siku njema wana jamvi
 
Sema unatafuta wa kugegeda tu! Miaka 23 umechoka!!? Unaishi kwenu unahudumiwa alafu unaleta siasa za mapenzi
 
Wana jf mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 23 na ninasoma chuo urefu wastani na ni maji ya kunde
Natafuta mpenzi wakua nae mpaka uchumba na hatimae wa mke kabisa
Sifa zake sasa
1. kabila asiwe mchaga na mfipa mengine poa tu
2. Awe muislamu na mwenye msimamo na dini
3.awe mweupe au maji ya kunde
4.asiwe mwembamba sana na asiwe bonge sana wastani
5.Kama kawaida awe nalo wowowo
6.awe na tabia za nzuri maana mama yangu [emoji23] atajuta
Ni hayo tu nisaidieni anicheki pm faster tuanzishe mahusiano muwe na siku njema wana jamvi
haujui kutongoza???
 
Back
Top Bottom