Nimechoka kuwa single, nahitaji mpenzi

Nimechoka kuwa single, nahitaji mpenzi

Deal kwanza na I achana na mambo ya WE, umri wako bado mdogo.

Unataka mpenzi while wazazi/walezi wako wanalipia hadi choo chako.

Ukimaliza chuo, bado kuna street university ambayo kumaliza hakunaga gurantee.
 
Siku mademu wangu wote 14 wakiniacha na mimi nitajaribu kutafuta mpenzi humu
 
Mkuu kama kweli wewe ni Muslims sijui unafail wapi? Mbona bado hao watu wana ile tabia ya kujitosa nyumba yoyote ulioona yupo mwali hata bila makubaliano na binti na bado ukapata mke?

Then anaejua vzuri dini hawezi kubali uchumba we tafuta familia sahihi peleka posa ukikubaliwa lipia mahali chukua mzigo.
 
Mkuu Kwanini usiende kwenye point kwamba unataka kulelewa!?
 
Wewe utakuwa hufai hata mume labda mchepuko wa mwanamke fulani tuseme huko unakosoma mnssoma wanaume tu au
 
Sikiliza hiyo a.k.a yako ni jina la kike.mwanzoni nilijua wewe dem.
Badilisha jina.
 
Deal kwanza na I achana na mambo ya WE, umri wako bado mdogo.

Unataka mpenzi while wazazi/walezi wako wanalipia hadi choo chako.

Ukimaliza chuo, bado kuna street university ambayo kumaliza hakunaga gurantee.
ha ha ha ha ha street university....
 
Mwenye msimamo wa dini hutompata sema unataka bint wa kugegeda basi
 
Haahaahahaaa! Ukute familia inakutegemea kwenye masuala ya msingi hasa linapokuja suala la kutoa ushauri. ... sipati picha
unataka ushauri wa nini kijana
natoa ushauri wa kila kitu
 
Back
Top Bottom