Nimechoka kuwa single, nahitaji mpenzi

Nimechoka kuwa single, nahitaji mpenzi

Wana jf mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 23 na ninasoma chuo urefu wastani na ni maji ya kunde
Natafuta mpenzi wakua nae mpaka uchumba na hatimae wa mke kabisa
Sifa zake sasa
1. kabila asiwe mchaga na mfipa mengine poa tu
2. Awe muislamu na mwenye msimamo na dini
3.awe mweupe au maji ya kunde
4.asiwe mwembamba sana na asiwe bonge sana wastani
5.Kama kawaida awe nalo wowowo
6.awe na tabia za nzuri maana mama yangu [emoji23] atajuta
Ni hayo tu nisaidieni anicheki pm faster tuanzishe mahusiano muwe na siku njema wana jamvi
Unasoma chuo cha boys mkuu?
 
Back
Top Bottom