Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenifurahisha may be nkabadili vgezo
Nimekosa mtu aise nahitaji yeyote alie single upo poa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamna sipo
Kwan bado haujampata tu?
Mod's waliufuta asee
Pole
Jaman toka nimepost natafuta mchumba sijapata nlie mpata anataka ela nimtumie du inamaana ninakosa mtu hvhv mhMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, urefu cm175, rangi maji yakunde. Siamini saana juu ya dini but naamini kuna muumba wa vyote. Kabila langu ukinipm utafahamu.
Nimeshaambiwa na wasichana kadhaa kuwa mimi ni handsome ila sitaki kuamini maana ningekuwa hivyo ningekuwa na mtu mpaka saa hivi ila sina na napigwa vibuti kama kawa. Nimejiajiri mimi ni producer wa muziki na nina studio yangu kwa ujumla mimi ni arts ila sijatoka, nimatarajio yangu mimi talented. Elimu yangu ni diploma ya ugavi.
Natafuta msichana mrefu wastani asiwe na kitambi awe na makalio wastani, sitaki mwenye makalio makubwa maana ma x gf akikuwa nayo sikupendelea nilipokuwa natoka nae watu walikuwa wanatuangalia sana. Asiwe bonge, elimu kuanzia form four na kuendelea. Rangi yeyote akiwa na kazi nipoa zaidi au kujiajiri, basi akiwa hana kazi basi hata awe masomoni, lengo ni kutafuta mtu ambae kama tutaendana tujenge family ila hayo nimatokeo.
Kwa atakae feel please tuchekiane pm.
Asante kwakunifatilia hadi mwisho.
Im sick of being lonely!