Nimechoka kuwa single

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada mimi nina wasiwasi na bikra yako isije kuwa una bikra ya malimao wewe
 
Usijali kabisaaa... Tulia muombe Mungu naye atakupa wa kufanana nawe.
Huu sio wakati wa kusema umechoka mueleze Mungu tuu mdogo wanguu mzuri!
vipi wewe unaye akulaye?
 
Binadamu (wanaume) kweli hatuna shukrani maana kila siku wadada wakiweka bandiko hapa kutafuta wenza watu wahoji kwanza bikira ipo? Sasa mdada wa watu hicho kigezo anacho tunageuza kibao kwamba azinduliwe kwanza ndo aje kutafuta mwenza humu, Dah!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…