Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Shkamoo kwanza!vipi wewe unaye akulaye?
Anikulaye yupo ila Mungu hajanikutanisha naye bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shkamoo kwanza!vipi wewe unaye akulaye?
Anikulaye yupo ila Mungu hajanikutanisha naye bado
double coincidence;mwenyewe pia nimechoka kuwa single
miaka:30
naishi:kunduchi
elimu:masters
kazi:nimeajiriwa
ni PM
Jamani jamani jamani!!!! Tunaanza kuitwa manyang'au watu na heshma zetu????Kuwa tu makini Mdogo Wangu na hawa manyang'au wa humu, Usiwe desperate sana unaweza jutia huo uamuzi wako baadye..!!
Amesema manyang'au mkuu siyo nyie wenye heshima zenu.Jamani jamani jamani!!!! Tunaanza kuitwa manyang'au watu na heshma zetu????
Kwan we unatongoza kutafta bikira broo? Kaaz kwelkwelMie kigezo cha demu kusema bikra huwa navunjika moyo kabsa na kuahirisha kutongoza
Kwan we unatongoza kutafta bikira broo? Kaaz kwelkwel
Nakushauri hivi..." We ukimuona msichana yeyote yule mtamani na umtongoze. Aseme ana bikira au hana we target kumpata na kufanya naye mapenzi. Maneno yasikutishe. Maana kerere za chura hazimzuii tembo kunywa maaji"Mkuu sijasema kutafuta bikra ila nachomanisha demu akishasema bikra kwenye sentence yake yoyote kabla ya kumpata ndo huwa mwsho wangu huwa hapo.
Mungu akujalie haja ya moyo wako...Shkamoo kwanza!
Anikulaye yupo ila Mungu hajanikutanisha naye bado
Hahahahahahaahah! Haya hongera zako mkuu na wala siongezi nenoAmesema manyang'au mkuu siyo nyie wenye heshima zenu.
Unanipenda hili neno lheraWaĺlah
Funguka hebu aiseeeWengi wapiga dili humu...nilijuta kulia nipo single. Kikichonitokea Mungu Anajua...Dah![emoji848]
Hongera pia mkuu kwa kuwa na heshima zakoHahahahahahaahah! Haya hongera zako mkuu na wala siongezi neno
Amen mkuuMungu akujalie haja ya moyo wako...