Nimechoka kuwa single

Nimechoka kuwa single

Status
Not open for further replies.
double coincidence;mwenyewe pia nimechoka kuwa single
miaka:30
naishi:kunduchi
elimu:masters
kazi:nimeajiriwa

ni PM
 
kwa umri wako ondoa shaka,utampata atakayekuondolea upweke.
 
Mie kigezo cha demu kusema bikra huwa navunjika moyo kabsa na kuahirisha kutongoza
 
Mkuu sijasema kutafuta bikra ila nachomanisha demu akishasema bikra kwenye sentence yake yoyote kabla ya kumpata ndo huwa mwsho wangu huwa hapo.
Kwan we unatongoza kutafta bikira broo? Kaaz kwelkwel
 
Mkuu sijasema kutafuta bikra ila nachomanisha demu akishasema bikra kwenye sentence yake yoyote kabla ya kumpata ndo huwa mwsho wangu huwa hapo.
Nakushauri hivi..." We ukimuona msichana yeyote yule mtamani na umtongoze. Aseme ana bikira au hana we target kumpata na kufanya naye mapenzi. Maneno yasikutishe. Maana kerere za chura hazimzuii tembo kunywa maaji"
Over!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom